totolucky anasaidiaga sana hapa,
Na wengi wanamkubali sana, sema kimyakimya tu maana hata akipost hizo nafasi, wachache sana hua wanamwambiaga ahsante.
Kama mnamkubali, basi akirudi hapa na kuendeleaga kupost tuwe tunamtia moyo basi, japo tu kumshukuru.