Wapi totolucky?

Wapi totolucky?

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,044
Reaction score
5,114
totolucky amekuwa msaada mkubwa kwa wengi humu JF kwa kupost nafasi za kazi kila siku. Ni kama wiki sasa yuko kimya. Whats happening?
 
Last edited by a moderator:
Dah,yan kama umeniwah tu kupost,ndio ilikua kwa akili yangu!
 
hizi siku mbili tatu nafasi za kazi zilikuwa adimu kwenye hili jukwaa
 
Kitambo kweli totolucky anatu rahishiaga maisha popote ulipo wanajukwaa tumekumic kweliii
 
totolucky anasaidiaga sana hapa,
Na wengi wanamkubali sana, sema kimyakimya tu maana hata akipost hizo nafasi, wachache sana hua wanamwambiaga ahsante.

Kama mnamkubali, basi akirudi hapa na kuendeleaga kupost tuwe tunamtia moyo basi, japo tu kumshukuru.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom