Raisi wa Mbeya huyu hapaWakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
Sana mkuu naona response ya kutukuka ya mapokeziRaisi wa Mbeya huyu hapaView attachment 1080956
mwaka wa 4 bila mikutano ya kisiasa.Kama lipi
Ahsante kwa picha mkuu,ila inakera maana no 1 anatembelea Mbeya kama Rais wa nchi SIO chairman wa chama dola.ila kuna wenye kujipendekeza kwa nyuma naaona wamevaa green na yellow!!,kuna mwenye picha ya Rais wa awamu ya kwanza aliyovaa kiccm pleaseRaisi wa Mbeya huyu hapaView attachment 1080956
Unanufaikaje labda kwa hali hiyo!??mwaka wa 4 bila mikutano ya kisiasa.
jaribu uone!
Hao waseeng....wananikeraga kwelikweli yaan kila mahali tu na vinjano + kijani zaoAhsante kwa picha mkuu,ila inakera maana no 1 anatembelea Mbeya kama Rais wa nchi SIO chairman wa chama dola.ila kuna wenye kujipendekeza kwa nyuma naaona wamevaa green na yellow!!,kuna mwenye picha ya Rais wa awamu ya kwanza aliyovaa kiccm please
poa sababu uchaguzi uliisha 2015 maswala ya siasa katikati yanatuchanganyaUnanufaikaje labda kwa hali hiyo!??
Wivu wa kipashkuna huo dada.Yupo kajichimbia zake anawaza atalipaje mkopo wa hoteli na ubunge wake ndio unafikia ukingoni.
Hawaruhusiwi kufanya mikutano kwa sasa, uchaguzi ukifika atajitokeza.Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?