mwikumwiku
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 153
- 35
Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii!
Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!
Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi!
::::::::::::::
Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii!
Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!
Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi!
::::::::::::::
Kauli mbiu bila nia ya dhati huwa historia. Wapi zilipo kilimo cha kufa na kupona, kilimo uti wa mgongo, mapinduzi ya kijani, kilimo kwanza n.k. Kauli kama hiz pale Congo Kinshasa tunaita ni Maniance yaani ni mbwembwe au madoido ya kisiasa.Wanabodi hebu tujaribu kutafakari slogan hizi zimetufikisha wapi? Je ulikuwa usanii!
Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya!
Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania!
Ari Zaidi, Nguvu Zaidi na Kasi Zaidi!
::::::::::::::
Inategemea wewe ulitaka zikufikishe wapi. Mtu kama mimi zimenisaidia kuwasiliana na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa wanaokuja kutembelea Arusha.