wewe hii manase ina nyimbo gani mpya..labda nikutajie nyimbo mpya...usikate tamaa rmx ya darasa, hisia ya rich mavoko..amerudi ya belle 9 au mia ya mtuchee.. Au kama ni uganda valuvalu ya dr.jose chameleo..au gold diggers ya jack chandiru.nawashangaa mnatupa ma site yenye nyimbo kama anita matonya mbagara ya diamond ya kazi gani!?? Leteni mpya bana.