Ni muda mrefu sasa umepita mtangazaji mahiri ITV hajaonekana hewani naomba kufahamishwa yupo wapi kipindi chake cha dk 45 ITV jumatatu hakiswii kama ilivyo ada
hivyo yule jamaa nae ni wa kaskazini?
maana mwonekano wake sijawahi kuuelewa,pia anajipaka mkorogo yule,maana kuna kipindi alienda kuripoti uchaguzi kenya,alivyorudi nikashangaa jamaa kabadirika rangi...