Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 145
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi
atakua ametumwa na mange kimambi,huyo demu limbukeni sana sijawahi kuona.Moderators nashangaa wanaondoa thread zinazomuhusu Mange.eti naye anataka kugombea Ubunge.Jitu zima limeishi nje lakini lishamba kweli nimeona kwenye blogs zake likitangaza kugombea ubunge hebu ona tamko lake
‘NAOMBENI KUCHUKUA NAFASI HII KUTANGAZA RASMI
nia ya kugombea ubunge mwaka 2015 kwa ticket ya Chama changu kipenzi chaCCM....... Ila naombeni ushari nigombee jimbo gani??tafadhali nichagulieni jimbo la Dar, mikoani siwezi maana wananchi wataniona wakati wa kampeni tu alafu ntakuwa Dar....Haya kwa pale Dar jimbo gani??nichagulieni jimbo la kishua ambalo mpinzani wangu akitaka kutumia hizi picha kuniumiza wananchi wamwambiehawadanganyikiiii, wamechoka kuongozwa na vitambia wanataka wanawake wenye kisomo na exposure....uwiiiiiiiKama sio jimbo je ningembee UVCCM au????Ila inabidi fans wangu wooooooooooooote kwanza siku nikienda kuchukua fomu mje maelfu na maelfu tuwaonyeshe we mean business....Alafu muwe mnaenda house to house with me kuniombea kura....IM VERY SERIOUS BY THE WAY.....''
Huyu mwanamke ni janga kwa jamii na kwa ukoo wake. Kila kitu anajua yeye, anajiona yeye tajiri, yeye mzuri, yeye ametokea kwa familia bora, yeye kila kitu........ikizidi inakera. kwanza kwa utajiri upi? na akina bakhresa wasemeje?
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi
hapa namtetea mtoa mada,ebu angalia kaweka post yake lin n ya zaman hata kabla ya post ya black ship,ebu angalien vzur
wewe mange kama ni usomi ni wewe na familia yako,wengine hautuhusu kama ulivyo na pesa,unatambia elimu uliyonayo mshamba tu wewe,imekusaidia nini hio elimu kama umeishia kuuza vitenge,kazi ambayo hata wa darasa la saba anaifanya...umewadhalilisha watu vya kutosha hapo huna uhakika nani anakuatack.....pole we i was your number one fan wakati ule blog yako ikionyesha harusi,ila sio sasa ukifungua ni mabully tu mnatambiana kama majogoo mnh
Character assassination .Destroy Mtu Hutu ili Mie niwe juu .Only God will destroy somebody not a human beingTabia hii ya watu kutumia blog kuchafua watu ni ushamba mkubwa
Hivi maisha yalivyo matamu Muda wanatoa wapi?Loading... Searching........no circuit channel
mange anamtukana linda kisa kazaa na wanaume tofauti,wkati na yeye ana watoto wawili baba tofauti,kweli nyani haoni his behind
Demu wa hovyo sana .mambo yake ni ya kitaahira taahira.Huyu ndiye anayefanya wabongo wadharaulike
Hata mimi nimestuka, huyu ametumwa au ni mamaa ya maisha bora a.k.a wengine wote walala hoi
huyu si bure huyu...
Naskia harufu za ufukunyunyu wa mtaa wa vitenge from nanhiii...vs walala hoooi bin taaban