Unadhani dawa ni kuwekeza kwenye kufungua center za kuhudumia wenye magonjwa ya akili ama ni kutafuta sababu ya watanzania kuwa victims wa mental related issues na kujua namna ya kutibu chanzo? Hongera kwa kuona fursa, nashauri pia pawe na kiwanda cha kuzaliza machizi wengi ili wigo wa ajira uongezeke!
serikali ijenge shule kila kata iwe na zaidi ya shule moja kuondoa msongamano wa wanafunzi wengi ndani ya darasa moja, darasa moja kuwa na zaidi ya wanafunzi 150 ni hatari kwa maendeleo ya elimu
hii itatoa fursa za ajira kwa walimu wahitimu wote wanaosota mitaani tangu 2015 bila ajira
Sina wivu hata kidogo...Nyerere aliona tatizo kwa wagogo miaka hiyo akaamua kuwekeza mirembe! Akaona fursa Tanga kikajengwa kiwanda cha Katani, nina jirani naye ni seremala aliona fursa akaamua kufungua karakana ya majeneza kwenye hospitali kubwa kubwa ndo maana nikasifu utafiti wako na kukutia moyo kwamba kwa stress za maisha watu wanazokumbana nazo awamu hii ukiwekeza kwenye kutibu bipolar disorders basi wewe ni bilionea mtarajiwa kwenye awamu ijayo! Na kupitia ukwazi utakaokua umepata basi utalipa gawio serikali ili inunue ndege nyingine!Sasa kujua victims wa mental health issues utajuaje bila kuwa na facilities??? Na ukishajua hizo sababu zinazowafanya watanzania kuwa na health related issues, utawaacha hivyo hivyo hilo sub-group wanaoumwa??? Km unataka wapone utafanya nini km sio kuwatuma hospital?? Utakua na ishu na Becky wewe... mwenzio hata sijali
Sina wivu hata kidogo...Nyerere aliona tatizo kwa wagogo miaka hiyo akaamua kuwekeza mirembe! Akaona fursa Tanga kikajengwa kiwanda cha Katani, nina jirani naye ni seremala aliona fursa akaamua kufungua karakana ya majeneza kwenye hospitali kubwa kubwa ndo maana nikasifu utafiti wako na kukutia moyo kwamba kwa stress za maisha watu wanazokumbana nazo awamu hii ukiwekeza kwenye kutibu bipolar disorders basi wewe ni bilionea mtarajiwa kwenye awamu ijayo! Na kupitia ukwazi utakaokua umepata basi utalipa gawio serikali ili inunue ndege nyingine!
Rebeca 83 unafikiri nakubishia ndugu? Nachotaka kusema hapa ni kwamba huja declare interest ila unaonekana ni mdau wa elimu ya afya na huenda umejikita zaidi kwenye magonjwa ya akili, sasa tambua wazi kwamba lengo la kutoa graduates si kupata ajira bali kuajiri, sasa kwa kuwa tatizo ni mtaji mnapaswa kuunganisha mawazo kama kundi kisha mkatengeneza wazo, kisha wazo hilo mkalipeleka kwa wawakilishi wa vyombo vya maamuzi na likionekana linafaa basi muwe equipped kwa ajili ya implementation ya wazo husika...asante!Nataka watu wapate access to treatment ili wapone,haya ya fursa baki nayo!
Rebeca 83 unafikiri nakubishia ndugu? Nachotaka kusema hapa ni kwamba huja declare interest ila unaonekana ni mdau wa elimu ya afya na huenda umejikita zaidi kwenye magonjwa ya akili, sasa tambua wazi kwamba lengo la kutoa graduates si kupata ajira bali kuajiri, sasa kwa kuwa tatizo ni mtaji mnapaswa kuunganisha mawazo kama kundi kisha mkatengeneza wazo, kisha wazo hilo mkalipeleka kwa wawakilishi wa vyombo vya maamuzi na likionekana linafaa basi muwe equipped kwa ajili ya implementation ya wazo husika...asante!
Aisee kabisa...huko tunakoelekea binadamu anaenda kutumia akili yake kwa asilimia zote..watu watafanya investment kweye Teknolojia kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa...swali ni kwamba tumejiandaaje..Kwenye Technology huko miaka ya mbele mambo yatakua yamepamba moto..
Kama unakatoto kako kasomeshe Computer science.
For sure mkuu. Artificial intelligence is taking the world to another level.Aisee kabisa...huko tunakoelekea binadamu anaenda kutumia akili yake kwa asilimia zote..watu watafanya investment kweye Teknolojia kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa...swali ni kwamba tumejiandaaje..
Wengine ni wataalamu wa milipuko na vilipukizi, sasa tukileta mapendekezo ya sehemu za kuwekeza nchi haitakuwa tena salama kwa matumizi ya binadamu (Joking)Nimeleta hii topic hapa sio tujadili Afya ya matatizo ya akili,hilo ni wazo langu na nyie mtaje sehemu zenye fursa ambazo Serikali ika invest watu wakapata ajira..
Miaka michache tu nyuma watu walikua wanapiga picha toka juu kwa helicopter na mikamera mikuubwa...now days ni mwendo wa drones tu..na hapo tayari mpiga picha na rubani kazi hawana...For sure mkuu. Artificial intelligence is taking the world to another level.
Mwanao kama anapenda vishazi chapa sana makwenzi. Physics ikae