Wapi ntapata wi-fi ya bure na iliyo open mda wote hapa daressalaam

Wapi ntapata wi-fi ya bure na iliyo open mda wote hapa daressalaam

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Naomba msaada kama kichwa cha habari kinavojieleza
 
University of Dar es salaam,nenda ukae pale utawala au mdigriii
 
Naomba msaada kama kichwa cha habari kinavojieleza
Nenda maeneo ya Sea clif Hotel jengo la Village walk pale kuna wi-fi ya bure Raha spot unachotakiwa kufanya ni ku create free account baada ya hapo unatumia wi-fi bure
 
Sogea kwenye ofisi ya kova pale makao makuu...ila kaa chonjo kiutumizi wa data za buuure!!
 
Nenda maeneo ya Ikulu iko fasta sana. Ila kaa chonjo.
 
Hapa bandari ya unguja ipo 24 HRS free, nipo hapa saa hii natumia tu. KARIBU
 
innovation space sayansi kijitonyama
 
Naomba msaada kama kichwa cha habari kinavojieleza

.
Wi-Fi zote ni open mkuu sema wewe tu kama uta jishughulisha....
.
Ila kuna nyumba hazina kabisa mlango we unaingia tu
.
Na nyumba nyingine zina milango ila hawajafunga...
.
Na nyingine pia zina milango na wameifunga ... Kwahiyo wewe ni ku ashume kama umepoteza funguo! Hv Na unataka kuingia....
.
RogeR
 
Back
Top Bottom