WAPI NTAPATA PC YENYE SIFA HIZI NA BEI GANI

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Brand Lenovo au HP
Core i5 - 8th generation
1TB HDD
8gb ram
Guarantee: 1 year
 
Laptop city unapata ila andaa 1m+ na zinakuja na dos hela za windows wameshatafuna,
 
Unamaanisha nn mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikawaida unaponunua laptop unanunua hardware na software, windows pia huwa inauzwa.

Baadae zikaja kelele si watu wote wanatumia windows wengine wanatumia ubuntu ama os nyengine. Hivyo mamlaka nyingi zikaamuru hawa ambao hawatumii windows warudishiwe hela zao,

Unaweza ukasoma zaidi hapa
Bundling of Microsoft Windows - Wikipedia

Sasa wafanyabiashara wetu wanatake advantage hii kwa kununua laptop zisizo na windows genuine either zina dos ama ubuntu kisha wakija huku wanazipiga windows feki. Unatoa 1m+ kununua kitu ambacho software yake sio genuine.
 
sasa kama window yake ni fake unaitambuaje ili tunavyonujia tujihadhari na vitu hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikawaida unaponunua laptop unanunua hardware na software, windows pia huwa inauzwa.

Baadae zikaja kelele si watu wote wanatumia windows wengine wanatumia ubuntu ama os nyengine. Hivyo mamlaka nyingi zikaamuru hawa ambao hawatumii windows warudishiwe hela zao,

Unaweza ukasoma zaidi hapa
Bundling of Microsoft Windows - Wikipedia

Sasa wafanyabiashara wetu wanatake advantage hii kwa kununua laptop zisizo na windows genuine either zina dos ama ubuntu kisha wakija huku wanazipiga windows feki. Unatoa 1m+ kununua kitu ambacho software yake sio genuine.
Chifu nimekutumia sms PM mbona kimya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom