Wana jamiii kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nahitaji madirisha used ambayo yapo katika hali nzuri pamoja na milango ya chuma pia used ambayo iko katika hali nzuri.location DSM.
Wana jamiii kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa nahitaji madirisha used ambayo yapo katika hali nzuri pamoja na milango ya chuma pia used ambayo iko katika hali nzuri.location DSM.
Hiyo bidhaa, zinapatikana maeneo mengi Dar, inategemea unaishi wapi. Mbezi mwisho, polisi ya zamani uliza jenga nafuu, ila wako wengi.
Kimara Suka uliza uliza bidhaa zipo.
Kimara karibu na kituo cha mwendo kasi ukitokea mbezi bidhaa zipo.
Manzese toka darajani kuelekea barabara ile ya Sweet Coner uswa wa makaburini pale bidhaa zipo ni wewe tu.