Wapi ntapata Gazebo (Tents) za aina hii katika picha

Tatetitotu

Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
58
Reaction score
42
Wasalam wandugu nahitaji kufahamu sehemu nayoweza pata Gazebo au tents za aina hii katika picha na bei zake zinacheza kwa shingapi pia kama kuna maelezo ya ziada kuzihusu itapendeza zaid I ikwapo durability
 
Nenda skygo au toyo.
Kama hawana nenda kiwanda chochote cha bia kata mpunga utapata.
 
Hizo tent zinatengenezwa Sinza Makaburin pale Sokoni kuna mdau anaitwa Side. Ukifika pale uliza mtaalam wa tent watakuonyesha
 
Toa order nikutengenezee, toa na size, Malipo ukipokea mzigo.
Kwa mawasiliano +254797636350.
KARIBU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…