Wapi ntapata apps na games za android v2.2

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
nna tablet ina os ya android v2:2. Nimejaribu ingia android market lakin games mbaya ndo free za ukweli unalipia jambo ambalo nashindwa coz sina jinsi ya kulipia kutokana na mfumo wa ulipiaj.
Nimejaribu google ni kapata site flani inaotwa androidgamesroom.com ina games za ukweli nime download via comp lakini kila nkiziamishia kwenye comp na kufanya installatio mwishon naambia installation failed.
Nahisi labda si compatible na version yangu ya 2:2.
Sasa kama kuna mtu anayejua wapi naweza download naomba aniambie
 
nenda kwenye settings za simu yako na click Allow non-market applications maana androids huwa zimezuiwa ku run software ambazo hazija pitia market yake mpaka uziruhusu
 
nenda kwenye settings za simu yako na click Allow non-market applications maana androids huwa zimezuiwa ku run software ambazo hazija pitia market yake mpaka uziruhusu

Nimefanya hvyo yani ni kwamba ina install halafu inachukua muda then after inasema installation unsucessful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…