Uko mkoa gani?Wapi nitapa vifaa vya kilimo na umwagiliaji. Pembejeo machine za kuvuta maji na washauri wazuri kwenye kilimo cha umwagiliaji. Maana naona biashara sasa inabana sana. Natanguliza shukurani.kwenu wadau. Naweka hoja kwenu
Sisi tunavyo boss..tuna vifaa vyote vinavyo husika na umwagiliaji kwa kutumia drip irrigation na sprinklers pia,tuna driplines,filters,connectors,sprinkler heads n.k, pia tuna husika na kudesign na kufunga mifumo hii mashambani na tuna waandisi wenye uzoefu pia.Kwa maswali na ushauri tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0752022108Wapi nitapa vifaa vya kilimo na umwagiliaji.
Pembejeo machine za kuvuta maji na washauri wazuri kwenye kilimo cha umwagiliaji. Maana naona biashara sasa inabana sana. Natanguliza shukurani.kwenu wadau.
Naweka hoja kwenu
Asante mkuuSisi tunavyo boss..tuna vifaa vyote vinavyo husika na umwagiliaji kwa kutumia drip irrigation na sprinklers pia,tuna driplines,filters,connectors,sprinkler heads n.k, pia tuna husika na kudesign na kufunga mifumo hii mashambani na tuna waandisi wenye uzoefu pia.Kwa maswali na ushauri tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0752022108
300 kwa mita bossDilpu mnauzaje bos