Agiza Dar. Nilinunua 70 last week.Wadau habari, naomba kujuzwa ni wapi nitapata viatu kama hivi ndani ya mkoa huu wa Arusha?? Na bei ikojee
Ahsanteni View attachment 2044094View attachment 2044098View attachment 2044096View attachment 2044095
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ajiandae kuacha viatu alivokuja nayo hukohuko......Ni ushauri tu nampatia.😅Njoo Matejooo Jombaaa
Samumge sagula sagula...anaweza bahatisha lakini but cant promise
Krokoni overated...viatu wanazidisha bei mara nneKrokoni pale au maduka ya dox utapata bei haitapungua laki mbili na unusu
Viatu dizaini hii vyote ni feki mkuu wala hamna cha kuangalia angalia hapo.Angalia kuna fake na urigino .
Nilibambikwa Mimi fake nilivaa mwezi tu chini likawa limeshakatika.
Connection ni duka gani, una mamba zao?Agiza Dar. Nilinunua 70 last week.
Tuma pmUkihitaji nakupa namba ya dogo sichukui hata mia yako kiroho safi tu ni 70k au hata 65k itategemea na duka.... delivery ni juu yako plz
Mchek Dogo 0765134651 au 0716835154 (Anaitwa Amos) kiroho safi tu ni 70k au hata 65k itategemea na duka.... delivery ni juu yako plz. Ila huyo dogo ni nyoko anayajua madocho lukuki Kkoo..... huwa nampoza kwa buku 2k-5k inategemea na upepo siku hiyo!!
Nimwambie we nani jibu pmMchek Dogo 0765134651 au 0716835154 (Anaitwa Amos) kiroho safi tu ni 70k au hata 65k itategemea na duka.... delivery ni juu yako plz. Ila huyo dogo ni nyoko anayajua madocho lukuki Kkoo..... huwa nampoza kwa buku 2k-5k inategemea na upepo siku hiyo!!