Wapi nitapata vanilla kwa bei ya jumla

Uzi wako watu wanashindwa waanzie wapi mkuu , Vanilla miche , ikiwa ghafi au tayari kwa matumizi , Hebu weka bandiko vizuri kama uko serious.
 
Una nunua kilo bei gan?
 
Wakubwa naomba munisaidie wapi nitapata vanilla kwa bei ya jumla
Mkoa wa Kagera.
Lakini wengi wanauza mbichi ukafanye curing mwenyewe.
Bei mara ya mwisho mwaka huu 2019 ilikuwa 150K hadi 200K kwa 1kg kutegemeana na daraja lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…