Escobar JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 574 Reaction score 444 Feb 24, 2017 #1 Ndugu wanabodi, Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya. Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ. Nawasilisha
Ndugu wanabodi, Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya. Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ. Nawasilisha
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Feb 24, 2017 #2 Kasulu utapata hizo tofali za kiwango cha juu sana, ila siyo kutoka kwa kampuni, ni watu binafsi.
Yudasti JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 1,094 Reaction score 1,619 Feb 27, 2017 #3 Nipo Arusha tuwasiliane
Escobar JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 574 Reaction score 444 Feb 27, 2017 Thread starter #4 Ok sawa niachie namba kwa pm
sostenes mbwelwa JF-Expert Member Joined Jul 25, 2016 Posts 289 Reaction score 139 Feb 27, 2017 #5 Ww upo wapi..Tofari zipo 0655229028
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 3,025 Reaction score 8,369 Apr 5, 2017 #6 Escobar said: Ndugu wanabodi, Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya. Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ. Nawasilisha Click to expand... Tofali za kuchoma nzuri zipo Mbeya wilaya ya Mbozi; Aisee ni nzuri kimwonekano na ni imara sana!!! Tofali za mbozi ni kiboko aisee Escobar
Escobar said: Ndugu wanabodi, Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya. Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ. Nawasilisha Click to expand... Tofali za kuchoma nzuri zipo Mbeya wilaya ya Mbozi; Aisee ni nzuri kimwonekano na ni imara sana!!! Tofali za mbozi ni kiboko aisee Escobar
Escobar JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 574 Reaction score 444 Apr 6, 2017 Thread starter #7 Ok sawa nilikuwa na majukumu mengine nikapotea kidogo. Nitakutafuta kwa details zaidi
mkada JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,200 Reaction score 908 Aug 10, 2017 #8 Dr. Wansegamila said: Tofali za kuchoma nzuri zipo Mbeya wilaya ya Mbozi; Aisee ni nzuri kimwonekano na ni imara sana!!! Tofali za mbozi ni kiboko aisee Escobar Click to expand... Naomba uni pm please..nahitaji tofali za kuchoma hizo za mbozi. Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Wansegamila said: Tofali za kuchoma nzuri zipo Mbeya wilaya ya Mbozi; Aisee ni nzuri kimwonekano na ni imara sana!!! Tofali za mbozi ni kiboko aisee Escobar Click to expand... Naomba uni pm please..nahitaji tofali za kuchoma hizo za mbozi. Sent using Jamii Forums mobile app