Wapi nitapata tiles za Spain kwa bei nafuu?

kendy

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
266
494
Nataufa tiles za kutoka Spain kwa bei nafuu. Ni maduka gani nawezaa kupata kwa Dar es salaam?

Ninaposema bei nafuu sisemi tiles za hovyo bali najua wafanyabiashara wanatofautia bei. Wapi wanauza angalau kwa bei nzuri?

Asanteni.
 
Nenda milenium tower pale mataa ya shekilango mbele mita kama 5 hivi kulia kama unatoka stendi kubwa ya mkoani kuna gordawng kubwaa hata ukitaka za south au india ziko kibao mi juzi nimetoka kuchukua hapo bei zao ni nzuri mno
 
Bei zikoje kwa square meter?
 
Spanish Tiles ofisi za bidhaa zao ziko Makumbusho mkabala na Jengo la Green Acres mkuuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom