Wapi nitapata suluhisho la jino?

Wapi nitapata suluhisho la jino?

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
299
Reaction score
409
Habari wakuu,

Siku kadhaa za karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na jino la pembeni. Nilienda kwenye dental clinic moja katikati ya wiki, nikaambiwa matibabu yake ni root canal...ila tatizo ni bei yao kubwa... Laki4.5.

Naoma kujua sehemu nnayoweza pata huduma hii kwa ubora ila bei ya mtanzania wa kawaida.
 
Ahsante sana mkuu... Ngoja nijaribu
Nenda hospitali ya serikali. Nilishafanyiwa root canal hospitali ya kaloleni Arusha kwa 60,000.
Badili hospitali ulinganishe gharama.
 
Bora kung'oa mkuu au kutumia dawa za miti shamba za kusukutua(magome ya mikaratusi nasikia ni dawa nzuri sana ukiyachemsha na kusukutua)

Root canal ndio kujazia kama wire kwenye tundu? Labda kwa wataalamu ukikutana na Mkanjanja wanaweza kukusababishia kansa!!
 
Back
Top Bottom