Wapi nitapata soko la madini Copper

Wapi nitapata soko la madini Copper

ENEO likishagundulika lina madini sio lako ni la serikali
 
Masoko yapo mjomba,ila wanunuz weng wamesitisha shugul hii sabab ya usumbuf wa serikal...
Madin ya kopa na the likes yaan industrial ni madin ambayo lazma yawe bulk so thaman yake sio kubwa kivile kama una deposit ndogo,na ni lazma upiwe conc ya copper kwenye ore yako,so hzo proces na nyingnezo ambazo ntakuwekea hapa lazma uzifanye
1.omba lesen ndogo ya uchimbaj,kumbuka hata kama ardh ni yako ila madin si yako ni ya serikal
2.kuna mrabaha hapo lazma uufaham ,utalipa na nna dhan sabab ya makinikia sheria zmebadilika nying,.so mlolongo ni mref.na si umeskia walitangaza lesen zote za madin zmefutwa znaanza upya usajil
3.kuna mrabaha wa serikal ya kijij unapochimba,.sasa hapo ndo utata,maana wanakiji na serikal yao wenyew wakiskia madin tuu wanajua ni mamilion wakat si kwel,so watakupigia mrabaha huo wa ajab had unaeza kimbia
3.kuna watu wa mazingira lazma wakutimbie,
4.hapo utakua umemaliza,ila pia kama unasafirisha mwenyew hapo ndo utakoma,si uliona makinikia makontena yalivyozuiliwa,nawee unaeza ambiwa,hauchimb kopa,ila unachimba dhahab na hapo TMAA lazma waje na the likes,

Mlolongo huu hufanya profit kua ndogo na usipokua makin katka kukokotoa utakula hasara takatifu

Hayo ni machache,.ndo shugul zangu hzo mkuu kwa upande mwingne
 
Back
Top Bottom