platoon commander
Member
- Jun 16, 2019
- 14
- 18
Buzuruga ipo maeneo gani kiongozi mi mgeni wa hili jiji. Nielekeze plzBuzuruga hauzikosi.
Ahahaha vishat vya 20Mkuu unajua pamba kali kweli?
Buzuruga hauzikosi.
Buzuruga ni uelekeo wa Airport. Kabla haujafika Makoroboi.Buzuruga ipo maeneo gani kiongozi mi mgeni wa hili jiji. Nielekeze plz
Ahahaha vishat vya 20
HahahahaBuzuruga ni uelekeo wa Airport. Kabla haujafika Makoroboi.
Punguza utoto wewe siyo kila uzi utoe comment, sometimes jitahidi kuficha upumbavu wako, mtu ameuliza ili asaidiwe badala yake unampoteza. Kama huna msaada kwake si uvunge tu?Buzuruga ni uelekeo wa Airport. Kabla haujafika Makoroboi.
Akunje na njia ya Igogo kwanza apitie Kpri point atokezee Nyakabungo ndio aelekee makoroboiBuzuruga ni uelekeo wa Airport. Kabla haujafika Makoroboi.
MaKoroboi au ilipo kuwa stendi ya tanganyika, utapata hizo na nyingine nyingi. Maduka classic pia utaulizia watakuelekeza kitambo nimetoka mwanza ila pakuanzia ni hapo. Panda gari za kwenda mjini shukia kituo cha kemondo au dampo then nenda mitaa hiyoAmani iwe juu yenu..
Nipo mwanza kwa sasa ila ni mgeni kidogo wa hili jiji. Naomba wenyeji mnielekeze maduka ya pamba kali za jeans, cardet, mashati bila kusahau shoes...
Nipo maeneo ya kirumba karibu na police station. Nipeni Location plz
View attachment 1281772View attachment 1281773