N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Mar 26, 2013 #1 Jamani naulizia wapi wanauza olive oil kwa jumla???
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,058 Reaction score 1,138 Mar 26, 2013 #2 Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata.
Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata.
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,082 Mar 26, 2013 #3 Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla.
Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla.
V Vandullahvic Member Joined Mar 4, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Mar 26, 2013 #4 unataka Aina gani...zaid ni RS na size gani.. mm tuwasiliane nitakuletea....
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Mar 27, 2013 Thread starter #5 Nataka kama lita5, unayo?? Vandullahvic said: unataka Aina gani...zaid ni RS na size gani.. mm tuwasiliane nitakuletea.... Click to expand...
Nataka kama lita5, unayo?? Vandullahvic said: unataka Aina gani...zaid ni RS na size gani.. mm tuwasiliane nitakuletea.... Click to expand...
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Mar 27, 2013 Thread starter #6 Asante, milimani city yako ila ujazo mkubwa ni lita moja, mm nataka kuanzia ujazo wa lita3 mpka5 Asante said: Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla. Click to expand...
Asante, milimani city yako ila ujazo mkubwa ni lita moja, mm nataka kuanzia ujazo wa lita3 mpka5 Asante said: Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla. Click to expand...
N Nsuri JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 1,013 Reaction score 562 Mar 27, 2013 Thread starter #7 Asante kuu, nitajitahidi ila mm co mzuri sana wa mitaa ya kkoo, huna namba yake?? Akthoo said: Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata. Click to expand...
Asante kuu, nitajitahidi ila mm co mzuri sana wa mitaa ya kkoo, huna namba yake?? Akthoo said: Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata. Click to expand...
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,058 Reaction score 1,138 Mar 27, 2013 #8 Maadam unataka lita 5 basi kesho nitakutafutia bei yake, Usijali
Top Thinker Senior Member Joined Sep 8, 2011 Posts 183 Reaction score 125 Mar 27, 2013 #9 mlimani city.. extra virgin olive oil.