Wapi nitapata Nyimbo hizi

Wapi nitapata Nyimbo hizi

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,956
Reaction score
30,125
Wadau,

Miaka hiyo Bongo Flava inaanza nlikua mpenzi na mfuatiliaji sana wa hii miziki. Ilifikia mpaka nikawa natoroka Shule ili niwahi kusit near Radio Cassette ya Mshua na Cassette yangu empty nikivizia nyimbo za kurekodi.

Kuna nyimbo ilikua nazizimikia sana that time, bahati mbaya nyimbo hizo hazipigwi tena Redioni, Kwenye vibanda Kariakoo hakuna hizo nyimbo, bloggers hawana nao, na hata hawazijui kabisa.

Wadau wenye kunisaidia please hizi nyimbo,
-Makalateli
-Mambo bado by Nash G
-Boss nipe Mshahara wangu,
-Mwanza zirekebishwe barabara,
-Utaona by Baggzy Mallone of KU
-Afroreign kwenye Jiji la Bongo
-Puff after Puff, Crazy crazy,
-Battle Field

Dance Rap za Mao Santiago, Allan Mulumba Kashama n.k.

Wapi links za hizi vitu wadau!?
 
Wadau,

Miaka hiyo Bongo Flava inaanza nlikua mpenzi na mfuatiliaji sana wa hii miziki. Ilifikia mpaka nikawa natoroka Shule ili niwahi kusit near Radio Cassette ya Mshua na Cassette yangu empty nikivizia nyimbo za kurekodi.

Kuna nyimbo ilikua nazizimikia sana that time, bahati mbaya nyimbo hizo hazipigwi tena Redioni, Kwenye vibanda Kariakoo hakuna hizo nyimbo, bloggers hawana nao, na hata hawazijui kabisa.

Wadau wenye kunisaidia please hizi nyimbo,
-Makalateli
-Mambo bado by Nash G
-Boss nipe Mshahara wangu,
-Mwanza zirekebishwe barabara,
-Utaona by Baggzy Mallone of KU
-Afroreign kwenye Jiji la Bongo
-Puff after Puff, Crazy crazy,
-Battle Field

Dance Rap za Mao Santiago, Allan Mulumba Kashama n.k.

Wapi links za hizi vitu wadau!?

kweli hizo nyimbo ni adimu kimtindo. Wasiliana na Abubakari Sadick.
 
kweli hizo nyimbo ni adimu kimtindo. Wasiliana na Abubakari Sadick.
Kweli aisee,
But nitaanzaje na huyu "Kwa Fujo"?
Kama sio mshikaji wangu atanisaidia Kweli?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
MIMI NAJUA HUU;


punch after punch lyrics by
staminah, izzo business ft
godzilla



punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
[Staminah]
sishushi mikono chini kama katuni wa
konyagi
nazidi tema madini kama mgodi wa
buzwagi
hiki kichwa kina google karibu
usiache mistari
wapinzani mashimo ya chudo
nawachezea kwa kamari
ah, mi sio robot nafanya
nnachokipenda
nna uchu na hizi noti mpaka natokwa
na udenda
hii track ina umeme, usipime bila
tester
flow zangu zina majotro katafute
thermometer
nawaacha midomo wazi
nakuwakilisha mtu che
mistari yangu ina vitanzi nchokoze
nikunyonge
Moro imenipa kibali niiongoze Dar es
salaam
Ndo maana, mi naitwa mkali zaidi ya
moto wa jehanamu
wanantishia, kuning'oa meno wakati
tayari nna mapengo
wanantukana kwa maneno, nasamehe
kwa vitendo
ki mziki mi nna hasira zaidi bikra
mwenye ukimwi
nawatoa tatu bila wanaotaka bifu na
mimi man
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the town let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby
ukianza na number moja mi naanza
na kwenye zero
[IZZO B]
Raia wanahitaji hoja sio visa na
migogoro ah
ngoja ngoja kwenye matumbo ni kero
Mziki uvuke border, sio Mbeya
uiishie Moro ah
nipo ugenini, wenyeji hazikabi
mi mkali tangu zamani, hapana mi si
mzugaji
tangu niko form four, na'hustle
kimpango wangu
oh oh oh no, usi'mess na dili zangu
kesheni mkiomba mungu, so
mnaomba hizo kufeli
ridhiki huja kwa mafungu sichoki
kupiga dili
nachukua nauli zao, siwafikishi
wanapokwenda
washa'salute wengi wao, wanapata
wanachopenda ah
Mbeya mbarikiwe, mbarikiwe tena
sana
nikikosa msichelewe, msichelewe
kunikana
kuna A mpaka Z, kwenye hizi
alphabet
mi ni mTZ, long tyme nishaji'set
ah ah like Dipset!
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby
ukianza na number moja mi naanza
na kwenye zero
(http://
www.thebongolyrics.blogspot.com/ )
[Staminah]
verse zangu za kiDaudi,
zinawadondosha magoliath
mori zangu kama hood, zinafuka kwa
hisabati
I was born to like this, difficult climb
fake emcees nawa'bite kwa punch
wana'resign
mi ndo, ujana wa aloe vera daima
siishiwi ukakasi
ubongo una chembe za hela, hauna
ndoto za bunuwasi
nina, ujinga kidogo, maujanja ndo
vifurushi
ndo maana, kipindi mdogo nilivaa
nepi za gucci
okay, hizi blow, hii game haihitaji
papara
ndo maana sichagui show, nakamua
hadi kipaimara
wanaringia swagga na mi'Suppra ya
Korea
staminah namsound mchaga ila kwa
flow wanapotea
mziki kwangu sio viatu mpaka niseme
naujaribu
sitaki kuishia tatu moja itanipa
majibu
siwasikii, wanafiki nawafuta bila
duster
all i need is snare na kick ili street
nilete disaster
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby. Mia
 
MIMI NAJUA HUU;


punch after punch lyrics by
staminah, izzo business ft
godzilla



punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
[Staminah]
sishushi mikono chini kama katuni wa
konyagi
nazidi tema madini kama mgodi wa
buzwagi
hiki kichwa kina google karibu
usiache mistari
wapinzani mashimo ya chudo
nawachezea kwa kamari
ah, mi sio robot nafanya
nnachokipenda
nna uchu na hizi noti mpaka natokwa
na udenda
hii track ina umeme, usipime bila
tester
flow zangu zina majotro katafute
thermometer
nawaacha midomo wazi
nakuwakilisha mtu che
mistari yangu ina vitanzi nchokoze
nikunyonge
Moro imenipa kibali niiongoze Dar es
salaam
Ndo maana, mi naitwa mkali zaidi ya
moto wa jehanamu
wanantishia, kuning'oa meno wakati
tayari nna mapengo
wanantukana kwa maneno, nasamehe
kwa vitendo
ki mziki mi nna hasira zaidi bikra
mwenye ukimwi
nawatoa tatu bila wanaotaka bifu na
mimi man
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the town let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby
ukianza na number moja mi naanza
na kwenye zero
[IZZO B]
Raia wanahitaji hoja sio visa na
migogoro ah
ngoja ngoja kwenye matumbo ni kero
Mziki uvuke border, sio Mbeya
uiishie Moro ah
nipo ugenini, wenyeji hazikabi
mi mkali tangu zamani, hapana mi si
mzugaji
tangu niko form four, na'hustle
kimpango wangu
oh oh oh no, usi'mess na dili zangu
kesheni mkiomba mungu, so
mnaomba hizo kufeli
ridhiki huja kwa mafungu sichoki
kupiga dili
nachukua nauli zao, siwafikishi
wanapokwenda
washa'salute wengi wao, wanapata
wanachopenda ah
Mbeya mbarikiwe, mbarikiwe tena
sana
nikikosa msichelewe, msichelewe
kunikana
kuna A mpaka Z, kwenye hizi
alphabet
mi ni mTZ, long tyme nishaji'set
ah ah like Dipset!
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby
ukianza na number moja mi naanza
na kwenye zero
(http://
mashairi )
[Staminah]
verse zangu za kiDaudi,
zinawadondosha magoliath
mori zangu kama hood, zinafuka kwa
hisabati
I was born to like this, difficult climb
fake emcees nawa'bite kwa punch
wana'resign
mi ndo, ujana wa aloe vera daima
siishiwi ukakasi
ubongo una chembe za hela, hauna
ndoto za bunuwasi
nina, ujinga kidogo, maujanja ndo
vifurushi
ndo maana, kipindi mdogo nilivaa
nepi za gucci
okay, hizi blow, hii game haihitaji
papara
ndo maana sichagui show, nakamua
hadi kipaimara
wanaringia swagga na mi'Suppra ya
Korea
staminah namsound mchaga ila kwa
flow wanapotea
mziki kwangu sio viatu mpaka niseme
naujaribu
sitaki kuishia tatu moja itanipa
majibu
siwasikii, wanafiki nawafuta bila
duster
all i need is snare na kick ili street
nilete disaster
[Zilla]
punch after punch niko slim ka'
shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu
silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote
guguzi
you google me baby, i said you
google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let
go
mp3 number one download
you google me baby, i said you
google me baby. Mia

Ha ha ha,
Mzee wa 100 umenikosha.
Nyimbo tajwa kule juu wakati zinavuma hawa kina Godzilla wako Shule ya Vidudu, hawajui hata Mic inashikwaje! !
 
  • Thanks
Reactions: Pep
mwanza warekebishe bara bara ilimbwa na kabago Filbert ambae ni presenter akiwa na jay dee dah bonge la songi nilikua nao long time.
 
mwanza warekebishe bara bara ilimbwa na kabago Filbert ambae ni presenter akiwa na jay dee dah bonge la songi nilikua nao long time.
Wapi naweza kupata sasa hizi song mkuu?
 
Wadau,

Miaka hiyo Bongo Flava inaanza nlikua mpenzi na mfuatiliaji sana wa hii miziki. Ilifikia mpaka nikawa natoroka Shule ili niwahi kusit near Radio Cassette ya Mshua na Cassette yangu empty nikivizia nyimbo za kurekodi.

Kuna nyimbo ilikua nazizimikia sana that time, bahati mbaya nyimbo hizo hazipigwi tena Redioni, Kwenye vibanda Kariakoo hakuna hizo nyimbo, bloggers hawana nao, na hata hawazijui kabisa.

Wadau wenye kunisaidia please hizi nyimbo,
-Makalateli
-Mambo bado by Nash G
-Boss nipe Mshahara wangu,
-Mwanza zirekebishwe barabara,
-Utaona by Baggzy Mallone of KU
-Afroreign kwenye Jiji la Bongo
-Puff after Puff, Crazy crazy,
-Battle Field

Dance Rap za Mao Santiago, Allan Mulumba Kashama n.k.

Wapi links za hizi vitu wadau!?

Mkuu ukizipata nami nishtue please
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom