Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,360
- 11,586
Jiunge na Al-Qaeda; utapata bikira sabaNina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra
Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na kuchakarika kama hazina wamiliki, ama kana kwamba zimetelekezwa. Yaani hapa haitajalishi ni Uswazi ama Ushuwani. Tena Ushuwani watu wanageiana kama BigG, yaani hata ile wanaita Jenga Urafiki ni lazima wakulane, binamu yake akifaulu mitihani anapewa mbususu kama kipozeo, kwenye mabar huko Sinza hali ni tete, yaani inauzunisha sana kutizama
Huku Uswahilini hali ni mbaya sana, tena zaidi ya sana. Huku mpaka wanadiliki kupakaza dongo kumkichwa, Dah! Yaani huku haijalishi ni mchana jua kali ama ni usiku ambao Tanesco wamefungia umeme. Inafikia hatua unawaza, hivi yule ambaye ametoka kwenye ubavu wangu atakuwa amefikishwa kwenye hali gani?
Naiomba Serikali ya CCM inisaidie kwa hili kwa kweli, iachane na mambo ya katiba na maendeleo kwanza
Huo ndio ulimwengu unaoishi! Na ndio ulimwengu utakakupa mke! Sisi wengine tunaishi ulimwengu wa mabikra! Tunaoa na kuozesha mabikra na ndoa ni raha mstarehe!Nina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra
Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na kuchakarika kama hazina wamiliki, ama kana kwamba zimetelekezwa. Yaani hapa haitajalishi ni Uswazi ama Ushuwani. Tena Ushuwani watu wanageiana kama BigG, yaani hata ile wanaita Jenga Urafiki ni lazima wakulane, binamu yake akifaulu mitihani anapewa mbususu kama kipozeo, kwenye mabar huko Sinza hali ni tete, yaani inauzunisha sana kutizama
Huku Uswahilini hali ni mbaya sana, tena zaidi ya sana. Huku mpaka wanadiliki kupakaza dongo kumkichwa, Dah! Yaani huku haijalishi ni mchana jua kali ama ni usiku ambao Tanesco wamefungia umeme. Inafikia hatua unawaza, hivi yule ambaye ametoka kwenye ubavu wangu atakuwa amefikishwa kwenye hali gani?
Naiomba Serikali ya CCM inisaidie kwa hili kwa kweli, iachane na mambo ya katiba na maendeleo kwanza
Hakuna mwanaume mchafu. Mwanamke safi ni yule anayejitunza dhidi ya makwazo na majaribu ya huu ulimwenguWatafuta bikira na wewe mwenyewe bikra?? Au umeshachafua huko kisha unawakimbia??
Wewe ni bikra?Nina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra
Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na kuchakarika kama hazina wamiliki, ama kana kwamba zimetelekezwa. Yaani hapa haitajalishi ni Uswazi ama Ushuwani. Tena Ushuwani watu wanageiana kama BigG, yaani hata ile wanaita Jenga Urafiki ni lazima wakulane, binamu yake akifaulu mitihani anapewa mbususu kama kipozeo, kwenye mabar huko Sinza hali ni tete, yaani inauzunisha sana kutizama
Huku Uswahilini hali ni mbaya sana, tena zaidi ya sana. Huku mpaka wanadiliki kupakaza dongo kumkichwa, Dah! Yaani huku haijalishi ni mchana jua kali ama ni usiku ambao Tanesco wamefungia umeme. Inafikia hatua unawaza, hivi yule ambaye ametoka kwenye ubavu wangu atakuwa amefikishwa kwenye hali gani?
Naiomba Serikali ya CCM inisaidie kwa hili kwa kweli, iachane na mambo ya katiba na maendeleo kwanza
usiwadhihaki anawake, kwni nawe umezaliwa na mama yako mwanakeNina shida ndugu zanguni. Nimepumzisha akili vya kutosha, nimepata wazo la kuoa. Ili moyo wangu usuuzike, unahitaji mwanamke bikra
Huku duniani hali ni dhofrihali! Mbususu zinachakatwa na kuchakarika kama hazina wamiliki, ama kana kwamba zimetelekezwa. Yaani hapa haitajalishi ni Uswazi ama Ushuwani. Tena Ushuwani watu wanageiana kama BigG, yaani hata ile wanaita Jenga Urafiki ni lazima wakulane, binamu yake akifaulu mitihani anapewa mbususu kama kipozeo, kwenye mabar huko Sinza hali ni tete, yaani inauzunisha sana kutizama
Huku Uswahilini hali ni mbaya sana, tena zaidi ya sana. Huku mpaka wanadiliki kupakaza dongo kumkichwa, Dah! Yaani huku haijalishi ni mchana jua kali ama ni usiku ambao Tanesco wamefungia umeme. Inafikia hatua unawaza, hivi yule ambaye ametoka kwenye ubavu wangu atakuwa amefikishwa kwenye hali gani?
Naiomba Serikali ya CCM inisaidie kwa hili kwa kweli, iachane na mambo ya katiba na maendeleo kwanza
ππ πJiunge na Al-Qaeda; utapata bikira saba
Kwa kweli kupika siwezi, ninachoweza mie ni kuzagamuana, na ba tamu alinifatia hicho tyuuh. Kupika watapika chefs, mie kazi yangu ni kuuinamia, kuukalia na kuulilia.