Wapendwa naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni wapi wanapofungulisha mapochi ya mtumba ningependa kupata ile grade nzuri kabisa 'A' wanaiita, najaribu kujinasua kwenye hii ajira nilipo. Ningependa kuanzia hapo.

Kama ni mojaja nenda pale Ilala na kama unataka jumla nenda kwa wa Lebanon keko ilipokua coca cola zamani ni jirani na Lab equip, au nenda vingunguti plot yao ina pakana na OK Plast. Ukikwama sema nitakupa namba zao.