Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

Wapi nitapata maharagwe kwa bei ya jumla?

Man Edy

Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
28
Reaction score
6
Kichwa cha habar hapo juu chahusika ,wapi naweza pata zao tajwa hususan kwa mkoa wa morogoro
 
Ww jamaa unaumwa wewe. Yani kilo 1200? Au hujui adha za kilimo nn mzee?
 
Back
Top Bottom