Mabati nadhan sio kitu cha kununua fake.
Nyumba zetu hizi za kujenga miaka mitano ili zikamilike, unaweza ukawa ndio unaingia ndan ya nyumba mabati yashapauka.
Anyway, nenda Buguruni pale ufanye research. Kuna kampun zaid ya 10 za mabati.
Ila mabati bora ni Alaf, Sunshare na Ando.
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app