Wapi nitapata kichuri kwa hapa Dar.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,936
Reaction score
11,869
Watu wa kanda maalum, nina arosto sana na kichuri, yaani koo limekauka, nakula sishibi hii yote ni kutokana na kumiss sana kile chakula chetu pendwa yaani kichuri.

Kwa anaejua naomba anielekeze wapi naweza pata kichuri kizuri nikasuuza roho.
Msiojua mpite kushoto.
 
Nenda gongo la mboto mwisho wa lami huwa tunaenda sana.
 
Nenda gongo la mboto mwisho wa lami huwa tunaenda sana.
Hiyo kitu ya Goms ni balaaa.
Kuna mzee Mmoja mstaafu wa Jeshi pande za Tuangoma anatengeneza hiyo kitu Konkiiiii kila Jumamosi. Ni balaaa
 
Aisee ngoja nizame chimbo moja kati ya hayo, yaani ni arosto mbaya sana.
 
Hata Town , karibu na City Garden pale gerezani, kuna baa pale inatazamana na city garden, pot kuna hiyo kitu.. Kakonge roho yako Mura
 
Nenda Makuti garden opposite na Lugalo Hospital . Hutojutia mda/uamuzi wako
 
Kimara korogwe karibu na kanisa la kkkt pale kipo standard
 
Mavi ya ng'ombe yanarostiwa na utumbo, ni chakula wanachokipenda wakurya.
Ile rojorojo inayotumika kutengeneźa kichuri huwa haijafikia hatua ya kufikia kuwa mavi. Ndio maana inageuzwa kuwa kiungo kwa chakula cha binadamu. Inapatikana kwenye utumbo mdogo. Sijui kwa kiswahili inaitwaje. Ni rojo ambayo bado ina virutubisho bora kwa afya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…