Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Nina jbl charger 5 nilihisi nimepigwa ila mmarekani huyu yuko overrated sana hasa upande wa bluetooth speaker , kitu pekee anachowapiku anker ni best design na ile dust proof tu anker naendelea kumuelewa zaidi na nimetumia BT tatu tofauti ziko njema sanaHaiwezi
Why usiagize kutoka official store za jbl wabongo wengine nimegundua wanaleta second hand au refurb ,na bado bei haipoiNi changamoto sana, kuna jamaa yangu aliagiza Dar ila nahsi amepigwa copy maana inagonga kiasi alafu haikai na chaji. Mi nimeamua kuchukua ya oraimo angalau najua sio copy na inagonga vizuri sana ukilinganisha na bei yake.
Mimi sio kilaza na mshamba kama wewe uliyetoka vijijini huko RuvumaHiyo ni copy sio OG. [emoji23][emoji23][emoji23]
Haiwezekani mkuu..Hivi copy ya jbl inaweza kusoma kwenye app ya jbl wenyewe ukiiconect
Piga Picha tuma Hapa nikwambie ni OG au fakeHaiwezekani mkuu..
JBL ni another lever usimcompare na Anker mzeeAsante
Nina jbl charger 5 nilihisi nimepigwa ila mmarekani huyu yuko overrated sana hasa upande wa bluetooth speaker , kitu pekee anachowapiku anker ni best design na ile dust proof tu anker naendelea kumuelewa zaidi na nimetumia BT tatu tofauti ziko njema sana
Piga Picha tuma Hapa nikwambie ni OG au fake.
Elewa bro ninachokuambia kaka nimeitoa authorised store online ni mpya ila naweza kukuonesha baadhi ya vitu kwa mda mfupi ambayo jbl amefel anker kampiku ,kumbuka nazungumzia upande wa BT tu.JBL ni another lever usimcompare na Anker mzee
JBL lever zake wakina Bose , pioneer, okyo Jvc
LABDA uliuziwa JBL famba maana zimejaa mjini
Hii bei yake ikoje?Kula chumaView attachment 2874656