M majuze Member Joined Aug 20, 2014 Posts 33 Reaction score 9 Feb 12, 2019 #1 Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza
dolomon JF-Expert Member Joined Jun 5, 2018 Posts 595 Reaction score 1,234 Feb 12, 2019 #2 Kwa kanda ya ziwa sina uhakika sana,lakini hebu jaribu kucheki hapo Ukiliguru chuo cha kilimo. But kwa huku Pwani tuna maabara hapo SUA na Mlingano Research Institute, Tanga. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kanda ya ziwa sina uhakika sana,lakini hebu jaribu kucheki hapo Ukiliguru chuo cha kilimo. But kwa huku Pwani tuna maabara hapo SUA na Mlingano Research Institute, Tanga. Sent using Jamii Forums mobile app
M majuze Member Joined Aug 20, 2014 Posts 33 Reaction score 9 Feb 13, 2019 Thread starter #3 dolomon said: Kwa kanda ya ziwa sina uhakika sana,lakini hebu jaribu kucheki hapo Ukiliguru chuo cha kilimo. But kwa huku Pwani tuna maabara hapo SUA na Mlingano Research Institute, Tanga. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani mkuu
dolomon said: Kwa kanda ya ziwa sina uhakika sana,lakini hebu jaribu kucheki hapo Ukiliguru chuo cha kilimo. But kwa huku Pwani tuna maabara hapo SUA na Mlingano Research Institute, Tanga. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Shukrani mkuu
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,634 Feb 15, 2019 #4 Nenda kwa mkuu wa wilaya mahali ulipo kisha ulizia bwana kilimo wa wilaya hapo kidogo unaweza kujua mwanzo wa swala lako
Nenda kwa mkuu wa wilaya mahali ulipo kisha ulizia bwana kilimo wa wilaya hapo kidogo unaweza kujua mwanzo wa swala lako
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,115 Reaction score 19,731 Feb 17, 2019 #5 majuze said: Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza Click to expand... Nenda hapo LZARDI Ukirigulu au panaitwa TARI Ukirigulu utapata huduma bila kupoteza muda!
majuze said: Habari wakuu? Naomba kujua wapi nitapata huduma ya kupimiwa afya ya udongo kwa ajili ya kujua udongo unafaa kwa zao lipi? Nipo Mwanza Click to expand... Nenda hapo LZARDI Ukirigulu au panaitwa TARI Ukirigulu utapata huduma bila kupoteza muda!
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,115 Reaction score 19,731 Feb 17, 2019 #6 Hajto said: Nenda kwa mkuu wa wilaya mahali ulipo kisha ulizia bwana kilimo wa wilaya hapo kidogo unaweza kujua mwanzo wa swala lako Click to expand... Ni wilaya gani ambayo Bwana Kilimo anakaa kwa Mkuu wa wilaya?
Hajto said: Nenda kwa mkuu wa wilaya mahali ulipo kisha ulizia bwana kilimo wa wilaya hapo kidogo unaweza kujua mwanzo wa swala lako Click to expand... Ni wilaya gani ambayo Bwana Kilimo anakaa kwa Mkuu wa wilaya?
M majuze Member Joined Aug 20, 2014 Posts 33 Reaction score 9 Feb 18, 2019 Thread starter #7 Manjagata said: Nenda hapo LZARDI Ukirigulu au panaitwa TARI Ukirigulu utapata huduma bila kupoteza muda! Click to expand... Shukrani mkuu
Manjagata said: Nenda hapo LZARDI Ukirigulu au panaitwa TARI Ukirigulu utapata huduma bila kupoteza muda! Click to expand... Shukrani mkuu