Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Nenda EKENYWA hospital Magomeni Kagera Mkuu, wamespesholaizi kwenye Kinywa,Pua na Koo. Kuna Super Specialists kwa ajili ya kinywa. Nimetibiwa pale na sijawahi kujutia.
Piga 0717574547 au 0757938769.
Bei zao unazijua. Nataka nikatibiwe gego la mwisho kabisa kushoto limetoboka halafu linauma.