Wapi nitapata hospitali nzuri ya meno

Wapi nitapata hospitali nzuri ya meno

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,866
Reaction score
1,950
Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Jamani Wataalam wa Afya kwa muda kadhaa nimekuwa na matatizo ya Meno.
Ni hospitali gani Nzuri naweza kwenda kwa matibabu?

Usiniambie Muhimbili....wao kazi yao ni kutoa jino tuu wanaweza kukutoa hata meno yote kisa tuu yanauma hahaha. Kuna meno kufa ganzi, meno kuuma tuu haswa unapotafuna kitu pande zote mbili za taya.

Ahsanteni.
 
Trust me... Muhimbili is the best. Nenda ukajieleze vizuri, nimetibiwa muhimbili na sijawahi kung'olewa jino pale.

That is my best advice to you
 
Trust me... Muhimbili is the best. Nenda ukajieleze vizuri, nimetibiwa muhimbili na sijawahi kung'olewa jino pale.

That is my best advice to you
MkuuNina Mama yangu Mzazi alikuwa anaumwa jino nilimpeleka Muhimbili. pale karibu na Geti la kuingilia. Alitolewa jinasio lenyewe..baada alikuja Mwl Dr. wa yule mwanafunzi pale akaangalia,then akaangalia ile X-RAY Akammfokea yule mwanafunzi kwanini umemng'oa jino mama huyo ambalo si lenyewe..baada ikabidi angolewe jino husika..pia akamwambia haya muombe mama huyu samahani.

jamaa akaomba smahani pale yakaisha...so huwa sipaamini kabisa pale...sasa hivi mama yangu anatafunia upande mmoja wa shavu kula...Muhimbili bana i dont trust sijui kwanini.

yaani naamini Private sana kwasababu naona private wako more Serious
 
Trust me... Muhimbili is the best. Nenda ukajieleze vizuri, nimetibiwa muhimbili na sijawahi kung'olewa jino pale.

That is my best advice to you
Pia labda uniambie nikamuone Dr.Gani pale Mkuu inawezekana una hoja pia...sababu kwa sasa meno pande zote yanauma,nikitafuna kitu napata maumivu makali sana kwenye meno mawili kushoto na moja kulia,pia na fizi zinauma ....lakini meno yote ni makavu,magumu hata kulegea hakuna nahisi Tatizo lipo kwenye fizi..
 
Nenda hapo Victoria kuwa wakorea wako vizuri. Ila cjui hiyo dispensary yao inaitwaje wait nimuulize Mother
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu...
jamani Wataalam wa Afya kwa muda kadhaa nimekuwa na matatizo ya Meno...
ni hospital gani Nzuri naweza kwenda kwa matibabu?
Usiniambie Muhimbili....wao kazi yao ni kutoa jino tuu wanaweza kukutoa hata meno yote kisa tuu yanauma hahaha.kuna meno kufa ganzi,meno kuuma tuu haswa unapotafuna kitu pande zote mbili za taya.
Ahsanteni.
Kuna hosipital iko Arusha. Ni ya Wasabato ni wazuri sana kwenye meno. Iko Njiro.
 
Nenda maeneo ya Tabata bima iko zahanati pale
Muslim.Hii zahanati wanao madentis wazuri na bei powa.
Hawang'owi jino mpaka uridhie.
 
Muhimbili mkuu,,
Muhimbili nikamuone Dr.Nani Mkuu?
Tatizo langu ni fizi zinauma zimepelekea hata meno kuuma na moja upande wa kushoto lingine kulia wakati fulani nikitafuta kitu....100% sio ya kungoa nahisi either kuna madini yamepungua may be calcium or other ndo maana mpaka fizi zinauma
Muhimbili ukimpata Dr.Mzuri ni safi...otherwise paba bored sana sana pale...
 
Nenda maeneo ya Tabata bima iko zahanati pale
Muslim.Hii zahanati wanao madentis wazuri na bei powa.
Hawang'owi jino mpaka uridhie.
Sawa Mkuu...wana vifaa vya kuchunguza jino?....unajua jino ni very sensitive organ...na huwa ukimpata mtaalam hadi una enjoy...tofauti na magonjwa kama ya tumbo..
 
Nenda hapo Victoria kuwa wakorea wako vizuri. Ila cjui hiyo dispensary yao inaitwaje wait nimuulize Mother
Hapo Victoria napafahamu ni wakorea...ila wana bei hao balaa niliwahi kumpeleka baba yangu mwaka jana hapo kwa ajili ya macho...sina uhakika kama na meno wanatibu...
 
Sawa Mkuu...wana vifaa vya kuchunguza jino?....unajua jino ni very sensitive organ...na huwa ukimpata mtaalam hadi una enjoy...tofauti na magonjwa kama ya tumbo..
Mkuu nenda hapo Clinic ongea na madentist ukiridhika fanyia hapo kama huridhiki tafuta kwingine.
Mimi na familia yangu ndio tunashughulikiwa hapo
Kila la kheri
 
Nenda EKENYWA hospital Magomeni Kagera Mkuu, wamespesholaizi kwenye Kinywa,Pua na Koo. Kuna Super Specialists kwa ajili ya kinywa. Nimetibiwa pale na sijawahi kujutia.
Piga 0717574547 au 0757938769.
 
Hapo Victoria napafahamu ni wakorea...ila wana bei hao balaa niliwahi kumpeleka baba yangu mwaka jana hapo kwa ajili ya macho...sina uhakika kama na meno wanatibu...
Nenda Ekenywa Mkuu. Nimekuwekea Namba zao hapo juu
 
NJOO EKENYWA MKUU 0762291006
Nitakuja hapo Mkuu...nipo safarinin nje ya Dar...baada ya majuma kadhaa nitakuwa hapo...
unajua Am sorry to say this Madaktari wengi ukiumwa jino wao wanajua ni kutoa tuu.au ukiumwa Mguu ni Kukata tuu...
wakati kumbe matatizo mengine ya meno unakuta ni meno kuwa na Ganzi au fizi kuuma na hivyo kusababisha Meno kuuma.
 
Pole sana kwa kuumwa. meno. Dodoma kuna hospital la Ntyuka njia ya kuelekea Mvumi. Huduma zao ni nzuri mno. Jaribu hao kama huko Dodoma.
 
tusaidie na kwa huku Iringa,Njombe makambako au mbeya kuna hospital gani nzuri ya meno esp kwa kufanya rootcanal,crowning na ile wanaita kuweka fixed dentures??
 
Karibu ekenywa specialized medical hospital
Mimi ni Dental surgeon tunavifaa vya kisasa karibu sana 0762291006
vipi kuhusu kuweka Yale meno bandia magumu ambayo hayatoki na yanakaa muda mrefu. gharama yake ikoje doctor?? kwa jino?
 
Karibu ekenywa specialized medical hospital
Mimi ni Dental surgeon tunavifaa vya kisasa karibu sana 0762291006

Nateseka na jino, bado unatoa huduma?
Uko peke yako ama MNA ofisi?
Nataka nije hata kesho, niandae Shingapi. Nina BIMA pia. Nasumbuliwa na gego la mwisho kabisa kushoto, limetoboka na linauma.
 
Back
Top Bottom