Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector)
Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA input tu , nimetafuta cable ya HDMI to VGA nimepata lakini cha kushangaza nikiunga bado sipati signal kwenye Projector several time nimejaribu bila mafanikio

Unahitaji decoder itayobadili digital(HDMI) to analogie (VGA).MSAADA HDMI (laptop) TO VGA (projector)
Nina laptop HP ENVY new model haina VGA output connection ila ina HDMI tu na mm nahitaji connection to Projector ambayo ina VGA input tu , nimetafuta cable ya HDMI to VGA nimepata lakini cha kushangaza nikiunga bado sipati signal kwenye Projector several time nimejaribu bila mafanikio
Pole, ukiishaingia mambo ya HDMI haya ni mambo ya digitali, you have to do away with analogia za VGA, just do away with your old VGA projector, just go to modern Digital Projectors!.
Pasco
Sio fake ni wire tu peke yake, hapa sasa nimekuelewa, ngoja ninunue hii kitu.
Kama ni waya peke yake ni feki maana hauwezi kufanya kazi.
Naomba usizungumzie kabisa 4K, kwa Tanzania at the moment, 4K ni wastage kwa sababu hatuna TV yoyote inayorusha full HD in 3 D zaidi ya DSTV tena ili kufaidi lazima ununue decoder ya explora na kulipia full package!.vga si resolution tu? kama unavyosema hd au 4k kwani digitali huwezi tumia resolution ndogo?
Wakuu namimi naomba mnisaidie hii kitu,nilitaka nifungue uzi mpya lakini naona kama tatizo langu linaendana endana na uzi huu.
Nina flat screen ya LG halafu nikapata home theatre ya Sony, sasa nimekwama kwenye kuunganisha cable ambayo itatoa sauti ya TV isikike kwenye home theatre..Nimeunganisha HDMI cable nikafanikiwa kupata sauti kwenye home theatre lakini ni kwa upande wa DVD na CD tu..nikitaka nipate sauti upande wa channels za kawaida za TV zisikike kwenye home theatre nashindwa..nifanyaje hapo? kuna mtu amenambia nitumie optical cable je iyo optical cable ipoje na nitaipata wapi?
Mkuu, ili uweze pata sauti itokayo kwenye tv na kwenda kwenye home theatre kupitia HDMI, sharti both tv na home theatre ziwe zinasupport ARC(Audio Return Channel). Hii ni feature ambayo inakuja na TV/Home theatre... Na inakuja na HDMI kuanzia Ver 4 kama sikosei, so kama TV/HT haina uwezo then through HDMI haitawezekana... Option ya pili ni kutumia Optical cable, ni cable inayosafirisha sauti tu kwa njia ya mwanga/light, sio gharama sana kama HDMI ni kama 15,000/= per cable. Ila sasa ili uweze tumia hii both TV/HT lazima ziwe na uwezo wa kusupport optical cable. Kama moja inasupport na nyingine haisupport, then u cannot use it. Na kuna limitation za optical pia kwa maana inapitisha DD/DTS up to only 5.1 channels plus PCM.. Option ya mwisho uliyonayo ni kutumia tu analog cables za sauti tulizozizoea na kwa minajili hii hutoweza pata DD/DTS kwa kebo zetu za kawaida za sauti zile zenye L/R
mkuu asante kwa maelezo yako, TV yangu inasupport optical cable lakini HT haisupport kwa maana hiyo sina jinsi nyingine tena ya kufanya connection..hivi hakuna cable amabzo ni upande mmoja zina kichwa cha optical n upande wa pili ni HDMI?( optical to hdmi).. naombeni mawazo yenu wadau