Wapi nitapata gypsum kwa bei ya jumla!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,533
31,678
Wadau nahitaji kuongeza biashara hii kwenye hardware, kwa nahitaji gypsum board, mikanda, fibre tape, angle na maua!
Kwa wenye uzoefu wapi nitapata kwa bei nzuri??
 
Unataka za kampuni,Idadi kiasi gani na uko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom