Wapi nitapata Dinamo ya kutoa 12Volt kwa hapa Dar ( Msaada tutani )

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
 
Kwa nini zinazalisha DC na wala siyo AC?

dynamo na mwenziwe alternator(na-refer ile ya gari) zinazalisha AC by default

1. AC ya dynamo inafanyiwa 'commutation' na 'split-rings' ndani kwa ndani na kubadilika kua DC kwa nje, ndio maana tunasema inazalisha DC

2. AC ya alternator( hasa ile ya gari gari) inafanyiwa 'rectification' na 'diodes( 6 diodes=full-wave, 3 diodes=half-wave )' ndani kwa ndani na kubadilika kua DC kwa nje, na kuchaji betri ya gari

na izo DC hapo sio 'nyoofu' bali ni 'pulsating' , yaani zinakua na mawimbi mawimbi,

DC generator( zenye prime mover like engine) yoyote ndani ni AC iliyokua 'commutated' au 'rectified'
 
Dah!Kwa hiyo hakuna kifaa kidogo kama hizi dynamo ambacho huzalisha AC?
 
Dah!Kwa hiyo hakuna kifaa kidogo kama hizi dynamo ambacho huzalisha AC?

solution rahisi ni kuifungua na kutoa commutation (ie: split-rings ) na kuweka 'slip-rings'

zipo ambazo zenye 'slip-rings' tayari , so zinatoa AC
 
solution rahisi ni kuifungua na kutoa commutation (ie: split-rings ) na kuweka 'slip-rings'

zipo ambazo zenye 'slip-rings' tayari , so zinatoa AC
Nikishapata AC kuna uwezekano wa kupata transforma ndogo ili niweze kuzalisha umeme mwingi?
 
Kwa mfano dynamo ya volts 6 inaweza washa taa ngap kwenye baiskel?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…