Wapi nitapata dawa ya tadalafil 5g?

20g.........10mls
5g............?

5gx10mls divide by 20g

2.5mls utakunywa itakua kama 5g

Ukikosa kabisa tadalafil 5g tumia hio kanuni utachukua kidonge cha 20g utakiweka kwenye 10mls hakikisha kina yayuka kabisa alafu mwaga maji mpaka ibakie 2.5mls unywe utakua umekunywa 5g

Umefahamu sheikh wangu?
 
Yes alternative hiyo.

Wengi ni watoto humu ,enzi zetu tunakuwa Dawa ma Dr walikuwa wanaandika kabisa chukua kidonge kizima kigawe mara mbili then kunywa nusu....walikuwa hawana division nyingi ya gram....Zilikuwa Aspirin na klorokwini.
 
Commonly TADALAFIL IPO YA 20MG BRAND ZIPO NYINGI..

APCALIS 20MG
MEGALIS 20MG
SAHEL 20MG
ED SAVE 20MG
CIATUFF 20MG
JOVAN 20MG
MYESED 20MG
TADALIN 20MG
VIRMAX 20MG

Orodha ni ndefuu sanaa

Mimi Nina hii ambayo nime attach picha 10mg uki itaji nikupe MAELEKEZO ya kuipata

VERDENAFIL 10MG 4'S
 

Attachments

  • IMG-20251112-WA0009.jpg
    65.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…