Kuna vitu viwili usichanganye. Kuna kitu kinaitwa corn flour na Kuna kitu kinaitwa corn starch. Matumizi yake yanaweza kuwa sawa kwa baadhi ya kazi. Ukitaka corn starch ya kg 25 kwa Bei ya jumla hata huyo kipara wa kariakoo ananunua huko nenda SINZA KUMEKUCHA hiyo barabara ya vumbi inayotizamana na kanisa la KKKT Mkono wa kulia utaona Kuna geti jeusi pameandikwa wauzaji wa vifaa vya kuoka piga kengele hapo ingia ndani utapata kiwango chochote unachohitaji kuanzia kg 25 na utapata kwa whole sale price
Unatumika kwenye bakeries na kutengeneza bidhaa zingine za viwandani...ukitumia bidhaa za MO au bakhresa pale kwenye ingredients utaona wameandika starch..