Wapi nitapata cornflour (starch) ya 25 Kg?

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi.

Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
 
supermarket hakuna za kg 25
 
Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi.

Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
Nenda mlimani city pale. Ukikosa rudi shops za masaki kule na oysterbay na msasani hautakosa....
 
Watanzania wenzangu kuna bidhaa nataka kutengeneza ila inatakiwa corn flour bila ya hiyo kazi haiendi.

Msaada ninapoweza kupata nipo Dar.
Nenda kwa kipara, pale Kariakoo sokoni, anapima hata kg 100, Nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa naipata pale.
 
Nenda Shoppers wanapima ...kapime kilo 25 unazohitaji
 
Huo unga unatumika kufanyia nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Reactions: Eco
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…