mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,124
Not necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....uzi huu utakuelekeza kwenye totoz
Haha umeona uvumilivu utakushindanimeshapata mkuu nimeweka apointment kesho,jamaa yangu amenipa tahadhari niende na soksi,nami nimeitikia wito
Hahaha yan we ni mwehu[emoji23][emoji23][emoji23]umejua kunchekesha walahi....hahaha kwamba hawakutajrika ujanani ndo waje watajrike leo????mimi tena ndiye nihudunie wazazi wangu ili wasije kufa maskini ..acha hzo basiii hawakutajirika ujanani ndio waje kutajirika uzeeni ..halafu aliyekwambia kuwa mtoto anapaswa kuwa rasilimali au mtaji ninani ...!?
Soksi za nn tena???nimeshapata mkuu nimeweka apointment kesho,jamaa yangu amenipa tahadhari niende na soksi,nami nimeitikia wito
Not necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....
Kipindi hicho nilikua nasumbuliwa na maumivu mgongoni begani na kwenye joint za miguu kutokana nakufanya kazi nikiwa nimesimama muda mrefu kazini.
Dada nilimapata massage therapist mdada kutoka tangazo lake Facebook.
Nikamtafuta tukapatana bei akaja nyumbani kwangu na kunifanyia massage....
Body to body...kitu cha kuzingatia hapa ni intention yako..maana kama lengo ni kupata msg....ule mzuka wakutaka sijui kudegeda hauji....alafu labda na kingine huwa si degedi MTU kama sina connection nae....kingine ambacho nadhani kilinisaidia katika kua na msimamo wa kufanyiwa massage ni kwamba mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkali
Yap mkuu hapa tunaelezana ukweli ili MTU apate full datamdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkal 😱😱😱😱😱😱
😀😀😀😀😀Yap mkuu hapa tunaelezana ukweli ili MTU apate full data
Wapi inapatikana hii na cc twende kiongozNiliwahi kwenda moja, ukifika unakaribishwa na mdada halafu anakupa kitabu cha menu ili uchague message unayotaka! Ukichagua unaingizwa mahali unakutana na wadada warembo sana halafu unaambiwa uchague atakayekupa hiyo huduma ya message!! Ukichagua unaingizwa chumba kingine halafu baada ya muda kidogo yule mdada uliyemchagua anatokeza akiwa amevaa tofauti na mwanzo!!! Huduma ni nzuri sana! Siwezi kuisimulia lakini hela unayotoa inatendewa haki!
Tuone tangazo la Facebook , au tupatie number ya mtàalam nasi tupate tiba mkuu! Maana huyo anaonekana yuko profesheno zaidi, wengine full mitegoNot necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....
Kipindi hicho nilikua nasumbuliwa na maumivu mgongoni begani na kwenye joint za miguu kutokana nakufanya kazi nikiwa nimesimama muda mrefu kazini.
Dada nilimapata massage therapist mdada kutoka tangazo lake Facebook.
Nikamtafuta tukapatana bei akaja nyumbani kwangu na kunifanyia massage....
Body to body...kitu cha kuzingatia hapa ni intention yako..maana kama lengo ni kupata msg....ule mzuka wakutaka sijui kudegeda hauji....alafu labda na kingine huwa si degedi MTU kama sina connection nae....kingine ambacho nadhani kilinisaidia katika kua na msimamo wa kufanyiwa massage ni kwamba mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkali
Mkuu iyo pesa bora ungewapa wazazi wako kuliko kuwaacha wataabikeNiliwahi kwenda moja, ukifika unakaribishwa na mdada halafu anakupa kitabu cha menu ili uchague message unayotaka! Ukichagua unaingizwa mahali unakutana na wadada warembo sana halafu unaambiwa uchague atakayekupa hiyo huduma ya message!! Ukichagua unaingizwa chumba kingine halafu baada ya muda kidogo yule mdada uliyemchagua anatokeza akiwa amevaa tofauti na mwanzo!!! Huduma ni nzuri sana! Siwezi kuisimulia lakini hela unayotoa inatendewa haki!
Mkuu Inawezekana wazazi wake ndo wamempatia hiyo pesa akakandwe kandwe mwili na wadada .Mkuu iyo pesa bora ungewapa wazazi wako kuliko kuwaacha wataabike
Wapi hapo kaka? Tupe ramaninimeshapata mkuu nimeweka apointment kesho,jamaa yangu amenipa tahadhari niende na soksi,nami nimeitikia wito
Nyamaza mkuuMkuu Inawezekana wazazi wake ndo wamempatia hiyo pesa akakandwe kandwe mwili na wadada .
Haya mkuuNyamaza mkuu
Azania wamejitahidi sana kutengeneza eneo Lao.Ila hiyo body to body massage hawanaAzania Hotel sinza kwa Remy
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo silaha yao yakiwashindanimejaribu kumwambia mkuu,amenijibu tabia zako za kishenzi peleka kwa washenzi wenzio.
Tukio hilo lisipite bila picha hapa jukwaaninimeshapata mkuu nimeweka apointment kesho,jamaa yangu amenipa tahadhari niende na soksi,nami nimeitikia wito