Wapi nitapata body to body massage kwa Dar?

Niliwahi kwenda moja, ukifika unakaribishwa na mdada halafu anakupa kitabu cha menu ili uchague message unayotaka! Ukichagua unaingizwa mahali unakutana na wadada warembo sana halafu unaambiwa uchague atakayekupa hiyo huduma ya message!!

Ukichagua unaingizwa chumba kingine halafu baada ya muda kidogo yule mdada uliyemchagua anatokeza akiwa amevaa tofauti na mwanzo!!! Huduma ni nzuri sana! Siwezi kuisimulia lakini hela unayotoa inatendewa haki!
 
uzi huu utakuelekeza kwenye totoz
Not necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....

Kipindi hicho nilikua nasumbuliwa na maumivu mgongoni begani na kwenye joint za miguu kutokana nakufanya kazi nikiwa nimesimama muda mrefu kazini.

Dada nilimapata massage therapist mdada kutoka tangazo lake Facebook.
Nikamtafuta tukapatana bei akaja nyumbani kwangu na kunifanyia massage....
Body to body...kitu cha kuzingatia hapa ni intention yako..maana kama lengo ni kupata msg....ule mzuka wakutaka sijui kudegeda hauji....alafu labda na kingine huwa si degedi MTU kama sina connection nae....kingine ambacho nadhani kilinisaidia katika kua na msimamo wa kufanyiwa massage ni kwamba mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkali
 
mimi tena ndiye nihudunie wazazi wangu ili wasije kufa maskini ..acha hzo basiii hawakutajirika ujanani ndio waje kutajirika uzeeni ..halafu aliyekwambia kuwa mtoto anapaswa kuwa rasilimali au mtaji ninani ...!?
Hahaha yan we ni mwehuumejua kunchekesha walahi....hahaha kwamba hawakutajrika ujanani ndo waje watajrike leo????
 
Not necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....

Kipindi hicho nilikua nasumbuliwa na maumivu mgongoni begani na kwenye joint za miguu kutokana nakufanya kazi nikiwa nimesimama muda mrefu kazini.

Dada nilimapata massage therapist mdada kutoka tangazo lake Facebook.
Nikamtafuta tukapatana bei akaja nyumbani kwangu na kunifanyia massage....
Body to body...kitu cha kuzingatia hapa ni intention yako..maana kama lengo ni kupata msg....ule mzuka wakutaka sijui kudegeda hauji....alafu labda na kingine huwa si degedi MTU kama sina connection nae....kingine ambacho nadhani kilinisaidia katika kua na msimamo wa kufanyiwa massage ni kwamba mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkali

Mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkal 😱😱😱😱😱😱
 
Niliwahi kwenda moja, ukifika unakaribishwa na mdada halafu anakupa kitabu cha menu ili uchague message unayotaka! Ukichagua unaingizwa mahali unakutana na wadada warembo sana halafu unaambiwa uchague atakayekupa hiyo huduma ya message!! Ukichagua unaingizwa chumba kingine halafu baada ya muda kidogo yule mdada uliyemchagua anatokeza akiwa amevaa tofauti na mwanzo!!! Huduma ni nzuri sana! Siwezi kuisimulia lakini hela unayotoa inatendewa haki!
Wapi inapatikana hii na cc twende kiongoz
 
Not necessarily totoz...Mimi binafsi nimewahi pata huduma ya massage....na alifanyia nyumbani kwangu....

Kipindi hicho nilikua nasumbuliwa na maumivu mgongoni begani na kwenye joint za miguu kutokana nakufanya kazi nikiwa nimesimama muda mrefu kazini.

Dada nilimapata massage therapist mdada kutoka tangazo lake Facebook.
Nikamtafuta tukapatana bei akaja nyumbani kwangu na kunifanyia massage....
Body to body...kitu cha kuzingatia hapa ni intention yako..maana kama lengo ni kupata msg....ule mzuka wakutaka sijui kudegeda hauji....alafu labda na kingine huwa si degedi MTU kama sina connection nae....kingine ambacho nadhani kilinisaidia katika kua na msimamo wa kufanyiwa massage ni kwamba mdada alikua ni kawaida sana..kwahiyo sikupata munkali
Tuone tangazo la Facebook , au tupatie number ya mtàalam nasi tupate tiba mkuu! Maana huyo anaonekana yuko profesheno zaidi, wengine full mitego
 
Niliwahi kwenda moja, ukifika unakaribishwa na mdada halafu anakupa kitabu cha menu ili uchague message unayotaka! Ukichagua unaingizwa mahali unakutana na wadada warembo sana halafu unaambiwa uchague atakayekupa hiyo huduma ya message!! Ukichagua unaingizwa chumba kingine halafu baada ya muda kidogo yule mdada uliyemchagua anatokeza akiwa amevaa tofauti na mwanzo!!! Huduma ni nzuri sana! Siwezi kuisimulia lakini hela unayotoa inatendewa haki!
Mkuu iyo pesa bora ungewapa wazazi wako kuliko kuwaacha wataabike
 
Back
Top Bottom