Chagua hapa| Arabic Sofa - EtsyWadau! Ninatafuta Arabian Sofa. Wapi ninaweza kupata katika miji ya Dar, Arusha, Moshi na Dodoma?View attachment 2605912View attachment 2605914
Nakupigia. Nimeona namba zakoChagua hapa| Arabic Sofa - Etsy
Fuata maelekezo hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Nipe kazi | Nakununulia , nasafirisha na kukufanya delivery mahala ulipo.
View attachment 2605931
Naomba unipm maana nimeshindwa kufuata maelekezo yakoNipe kazi | Nakununulia , nasafirisha na kukufanya delivery mahala ulipo
Delivery ndan ya muda ganiChagua hapa| Arabic Sofa - Etsy
Fuata maelekezo hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Nipe kazi | Nakununulia , nasafirisha na kukufanya delivery mahala ulipo.
View attachment 2605931
Delivery ndan ya muda gani
Je unaweza kupata dolari kwa sasa nikafanya order?Chagua hapa| Arabic Sofa - Etsy
Fuata maelekezo hapa | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Nipe kazi | Nakununulia , nasafirisha na kukufanya delivery mahala ulipo.
tulia kijana huu sio utamaduni wako, katafute mastem ya mgomba uweke ukumbini utulie,complications kama hizo hata nikipewa bure siwezi weka kwenye sebule yangu. utafikiri mganga wa kienyeji?
Ndio,Je unaweza kupata dolari kwa sasa nikafanya order?
Mawasiliamo | 0788 203 160Nimetafuta ile msg yako sikuipata please uni pm niko serious this time nimejitayarisha
Rejea | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa=
NJIA ZA MAWASILIANO![]()
Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Whatsapp: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT
MUDA WA KUWASILIANA NAMI![]()
1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
=
Usimnyime kutoa maoni kuwa kitu fulani ni kizuri au kibaya, kwa kweli hizo sofa na rangi zake zimekuwa kama za kwa mganga, bila kupepesa machotulia kijana hu sio utamaduni wako, katafute mastem ya mgomba uweke ukumbini utulie,
hata ukipepesa macho kama siyo utamaduni wako hutajua maana wala mantiki, kwa hivyo nyinyi endeleeni tu na maisha musisumbuke na ya watu wengine.Usimnyime kutoa maoni kuwa kitu fulani ni kizuri au kibaya, kwa kweli hizo sofa na rangi zake zimekuwa kama za kwa mganga, bila kupepesa macho
Hakuna privacy hapa, hiyo picha iko open kwa wote tunaiona, ingekuwa umetumiwa inbox tukaifata huko ndiyo ungesema tumekufuatiliahata ukipepesa macho kama siyo utamaduni wako hutajua maana wala mantiki, kwa hivyo nyinyi endeleeni tu na maisha musisumbuke na ya watu wengine.