Kwa mwenye ile video clip yenye wimbo wa Achukucha ambao kuna jamaa alikuwa Jukwani akasema CCM itaondoka kama alivyoondoka Firauni anisaidie bajameni.
Hill lilikuwa in jina halisi so kwa sababu ya kuwatesa Waisreli na kumbuka kwamba wakati huo watumwa ndio walikuwa wanafanyishwa Kazi ngumu dunia nzima
Hill lilikuwa in jina halisi so kwa sababu ya kuwatesa Waisreli na kumbuka kwamba wakati huo watumwa ndio walikuwa wanafanyishwa Kazi ngumu dunia nzima
Chukua nilichoandika unganisha na niliemjibu halafu uamue kama nimesema ni jina lake au sio jina lake, halafuu kasome nilichomjibu alieuliza "Ni nini maana ya Firauni" ..