Mas The Great
Senior Member
- Dec 27, 2011
- 150
- 64
ndugu wadau. nimejitahidi sana kutafuta kifaa ambacho kitanisaidia kuitumia computer yangu kama TV lakini nimekosa. maduka ya kariakoo walinambia nitafute kitu kinaitwa TV Box, kariakoo na Posta kote nimekosa. wengine waliniambia nitafute kitu kinaitwa TV card lakiini bado nimekosa.
je ni kwa sababu teknolojia imeshabadilika na kupitwa na wakati? je nikikipata nikakinunua naweza kukitumia kwenye Desk top au Lap top ifanye kazi kama TV?
wadau naomba mwenye msaada wa kukipata na hata matumizi yake anisaidie