Wapi nawezatengenezesha mifuko ya plastic yenye chata ya kampuni yangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nawezatengenezesha mifuko ya plastic yenye chata ya kampuni yangu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wanan, Nov 14, 2011.

 1. w

  wanan Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kutokana na biashara ya ushindan ,biashara ni matangazo nimeona kutumia njia ya mifuko itanisaidia kwa njia moja au nyingine.wanajf mumenisaidia sana naomba msinichoke kunisaidia kwan ajira zimekuwa ngumu sana.Na njia hii naona inanisaidia sana.hivyo wakuu wanaofahamu waniambie wapi naweza kutengenezewa ikiwezekana na gharama zake kabisa.na wapi wanapatina .natanguliza shukurun za dhati
   
 2. 1

  19don JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  waone OMARY PACKING (T) ltd wapo pugu road (sido) ndio wanatengezeza mifuko yote ya azam na bidhaa nyingine
   
Loading...