Wapi nawezapata Mchele Bora?

Wapi nawezapata Mchele Bora?

Youngstunna

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
286
Reaction score
322
Habari wakuu.

Poleni na majukumu, wakuu naomba wenye uzoefu na biashara ya mchele au wanao fahamu mchele bora grade one unapopatikana na makadrio ya haraka haraka ya bei kwa kilo.

Maana nataka nianze biashara ya kutoa mchele mkoani na kuuza Dar kwa bei ya jumla na namna nzuri ya kuupata mchele mzuri na sio chenga chenga.
 
Ww upo wapi
 
Asante sana mkuu mimi ndo nataka nianze hii biashara kwahyo ni mgeni .nataka nianze na magunia 50 hivi
Magunia 50 maanaake ni tani 5. fanya kila tani moja ni 1.5 M. bado usafili kwa kila tani moja ni 150k. Ushuru ni 30k kwa tani 1.Haya karibu Mbeya upate super mchele.
 
Mbeya wilaya gani boss ? Na vipi kuhusu kipindi cha mavuno kwa makadrio mchele huwa ni bei gani ??

Back
Top Bottom