Wapi naweza pata SAA hii Casio G-Shock DW5600E 1V watch?

Wapi naweza pata SAA hii Casio G-Shock DW5600E 1V watch?

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
301
Habari wakuu kuna SAA moja nimeitafuta Sana online hasa AliExpress lakini sijaipata.

Je?
Wapi naweza ipata hasa Kwa wauzaji wa maduka dar es salaam?

Kwa wale wenzangu wa online mnaweza nisaidia kunitafutia Supplier anayeuza kama itashindikana bongo?

SAA inaitwa Casio G-Shock DW5600E- 1V WatchView attachment 1901374
IMG-20210810-WA0051.jpg
View attachment 1901373
 
Hizi ni saa nzuri sana ambazo huwa napenda sana kuzivaa.
Ukinunua saa za mishale zinawahi kuharibika.
Mtoa mada ukipata nami niunganishe nami nichukue 1
Nashukuru mkuu najaribu kuangalia China nako niadimu sana
 
Ambao hatuna a b c za saa tueleweshwe kwanini hiyo mikonyezo inauzwa 189,500
Hata mimi nashangaa ya kwangu mimi kama hizo za 189,500 kimuonekano hakuna cha kutofautisha nimepata kwa buku nane uswahilini na nimedumu nayo kwa muda mrefu pamoja na kupata misukosuko ya hapa na pale.
 
Nenda kariakoo mtaa wa aggrey kuna maduka ya mawili ya camera km sikosei yana bango la canon wanazo, nimenunua juzi tu na bei zao ni rahisi kuliko hata aliexpress

View attachment 1901795
Agrrey st,inaanza station inavuka mnazi mmoja inaenda mpaka mission kota.Unatakiwa umpunguzie zoezi la kutembea kwa kumpa intersection,mfano- Agrrey na Indira gehandi st. ,na market st. na Jamhuri st. na Libya st.na Bibititi st na kadhalika.
 
Back
Top Bottom