wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
😁😁😁Tembelea AliExpress utaikuta kwa us $97.51View attachment 1905797
😁😁😁Tembelea AliExpress utaikuta kwa us $97.51View attachment 1905797
Nimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.Nenda kariakoo mtaa wa aggrey kuna maduka ya mawili ya camera km sikosei yana bango la canon wanazo, nimenunua juzi tu na bei zao ni rahisi kuliko hata aliexpress
View attachment 1901795
Nimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.
Ni hao hao waarabu. Bei zao za kawaida sana na ogNimenunua hapo kwa hao waarabu, Casio tofauti 4, kama hii (metal silver) nilinunua mwaka 2015 kwa sh 45,000/ mpaka leo kitu bado kinakonyeza. Nasikia zimepanda bei kinoma.