Natafuta notebook laptop ambayo ina nguvu, either Intel core i 5 au 7, au AMD A8 au zaidi, RAM 6GB au above. Naweza pata wapi pc kama hii kwa bei nzuri. Hasahasa kwa arusha au dar.
Asante
Kwanzia 800,000 had 1,000,000
Kwanzia 800,000 had 1,000,000
mkuu umeona hyo dell hapo nmekutajia specs..zipo brand tofaut...nmeku pm namba yangu
Kwani ukiweka bei kuna shida?
Japo napendelea zaidi hp, na Asus, je hyo n New pc?