Lager JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 396 Reaction score 1,089 Jul 6, 2021 #1 Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi. Msaada tafadhari.
Wapi naweza pata mkopo wa laki mbili na nusu itakuwa vizuri zaidi kama kuna site za online zinaweza toa mkopo maana sitarajii kukaa na mkopo huo kwa muda mrefu ni kitu fulani tu nakikamilisha ndani ya wiki then pesa husika inarudi. Msaada tafadhari.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,759 Reaction score 6,041 Jul 6, 2021 #2 Unaweka dhamana gani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,103 Reaction score 184,861 Jul 7, 2021 #3 Kila la kheri...
W waguna Member Joined Jun 19, 2020 Posts 14 Reaction score 31 Aug 2, 2021 #4 desayi said: Unaweka dhamana gani Click to expand... Mimi na weka nyumba