Marce Martella
Member
- Feb 23, 2018
- 26
- 20
NYUZI ZA KILIMO ZIMESUSWA KINOMA,NAHISI WATAKUJAHabari wanabodi,
Kama kichwa habari kinavyojieleza naweza kupata wapi sehemu ya kuaminika wanapouza mayai ya kuku aina ya sasso kwa ajili ya kutotoresha vilevile nikipatiwa na bei itakuwa vyema sana.
Location😀ar es salaam
Shukrani
Habari wanabodi,

Unaweza kunisaidia namba yao mkuu?? na je wapo iringa sehemu gan??Kuna kampuni inaitwa Silverlands ukiwacheki unaweza kujua hili swala wao huwa wanauza vifaranga vya saso wapo iringa, mimi juz tu nimenunua....
Naomba namba zao mkuu nijaribu kuwasiliana naoKuna kampuni inaitwa Silverlands ukiwacheki unaweza kujua hili swala wao huwa wanauza vifaranga vya saso wapo iringa, mimi juz tu nimenunua....
Okay ngoja nimcheckIngia fb mtafute Samson MollelView attachment 815730
Unaweza kunisaidia namba yao mkuu?? na je wapo iringa sehemu gan??
Naomba namba zao mkuu nijaribu kuwasiliana nao